sherehe ya Harusi kuleeeee....

uyo mwenye shera la bib harusi ni mwanamke au mwanamme ?? maana naisi macho yangu ya uzee yameanza kufifia
 
Hiyo ilikuwa Liberia enzi zilee za vita. Kitu ambacho kwa mtazamo wangu ndio kinakuja tokea Tanzania iwapo hatutachukua hatua juu ya kundi kubwa la vijana wasio na kazi linavyozidi ongezeka.
 
tukipata kama hawa kumi kule arusha watu wataheshimiana....
 
Dah!Harusi ya hivi,wazamiaji wataisikia kwa mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…