Leo nimempigia shuti la kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza kwa nini unanipenda? akaanza kuzunguka, nikajua hapa nimempata, utetezi mwingi, ooooh siku zote hizo hujui, nikabana ajibu, baada ya muda mrefu akaja na haya majibu, mstaarabu, mpole, mcheshi na ninajali. Nipo najiuliza hizi kweli ni sababu za mwanamke kukupenda? tena kwa hawa wanawawake wa mujini?????
haha! Tatizo liko sehemu 2. 1. Kusita kwake 2. hizo sababu inawezekana ikawa kweli lakini ni very general, kwaio akitokea mwingine mpole msataarabu na anajali naye atapendwa? heri uambiwe nakupenda sababu nimekuzoea!
Hapendwii mtu, pochi tu!
Issue inakuja ukute hata kuhonga haongi c bora ajibiwe ivo ipite?? Maana n shudaaa, wanaume wa cku hzi pasua kichwa unashinda ukimwambia eti umemfanya mzaz au unamkomoa sa anataka shida zoote nikamwambie mzaz akat yy ananitumia??
anhaaaa, kumbe ndo mlivyo wanawake wa mujini!
Vijana mna safari ndefu,heri siye ajuza
kweli kabisa, naumiza kichwa kumchambua, kaniweka njia panda.
jiulize wewe unazo hizo sifa au huna? sababu hizo pia humvutia mwanamke, sasa kama huna jua ndo kakudanganya. au ulitaka akwambie na sifa zako za ndani?