shemeji yangu shoga?


hivyo vyote havina maana ya ushoga but vipo katika hizo element pia, kuna vitu vya kumtilia shaka kama ongea yake, tembea yake, swaga na pozi zake, stori zake na marafiki alio nao pia!!

kuna jinsi ya kumtambua shoga kama utapenda kujua ni Pm
 
..mijitu ya sikuhizi bhana, inapenda ushoga kweli,asa mtu akiwa smart ndo shoga ? upuuzi mtupu ! yaani hata uswahilini mijitu iko bize fulani shoga,unauhakika ? au mnachafulia watu tu haiba zao.acha kuchafua akili yako na hayo mawazo mabaya mwisho wa siku kibao kitakugeukia wewe mwenyewe...
 
Yaani mijitu ya sasa hi bure kabisa. Kumbe kijana kuwa handsome, msafi na mtanashati ni kosa? Ajabu kabisa! Kwa taarifa wapo wapole, wasafi, wanaongea sauti za kike lakini wana wake zao na wala hawajui ushoga ni nini?

Taifa lenye watu ambao ni masikini wa fikra ni tabu tupu na wala hilo taifa halitaendelea kamwe. Hapa kuna mawili ama ulimtaka kijana akakutolea nje kwa hiyo umeamua kumharibia, ama wewe ni mfuasi mwema!! Umenikasirisha sana tena unahamasisha eti mbona haleti mabinti nyumbani!
 

Hahahaha leo nimepata watu..hii threads nimeitoa mahali nikaibeba kama ilivyo..kuna mtu alinambia ukiweka post ya mambo hayo watu ndo wataingia weengi..lakini post ikiwa kilimo cha pamba mwanza no oneeeeeee.
Haya kwaherini niendelee na kazi
 
Mona easy tu amuulize vp mbona Girlfriend wako hatumuoni au bado jicho halijaona?
 
mkuu siku hizi mashoga sio lazima wale vidole juu, unamkuta mtu baunsa, mkakamavu , mtemi ngumi mkononi lakini watu wanachukua ,lo!

Mkuu upo sahihi kuna mmoja nipo nae mtaani baada ya miaka 4 ndo juzi juzi hapa tumejua nae ni"MTOTO WA WATU" kwani anajichanganganya vibaya mno anakula Weed, Pombe kifupi humtegemei na Jamaa wa nguvu,,anapiga kazi kama Crew katika kampuni moja hivi ya Ndege.
 
Hahahaha leo nimepata watu..hii threads nimeitoa mahali nikaibeba kama ilivyo..kuna mtu alinambia ukiweka post ya mambo hayo watu ndo wataingia weengi..lakini post ikiwa kilimo cha pamba mwanza no oneeeeeee.
Haya kwaherini niendelee na kazi
Bishanga & Bujibuji hebu njooni munisaidie kunisemea kuhusu comment hii.. mie nimefunga..
 
Last edited by a moderator:
If only people learnt to mind their own business.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…