shemeji yangu shoga?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Kuna rafiki yangu anaomba ushauri,ana shemeji yake ie Nic ni mwanafunzi wa chuo fulani...huwa hamuelewi elewi...ni handsome,smart,na kwa kuwa wako karibu mara nyingine Nic humsimulia hata shemeji yake wasichana wa siku hizi ndo watongozaji wanapojigonga esp chuoni.kilichopelekea rafiki yangu aanze kujiuliza maswali ni baada ya kutembelewa na rafiki zake wawili kwa nyakati tofauti na wote kukuta wanamaoni sawa..wa kwanza alishangazwa na uzuri wa Nic,na behavior zake alisema huyu shemejio mzima?kama ana aibu,hata nguo zake kama n singlend au jinz mh..na pia hata anavyokula,ok ni msafi so hata anavyoclean sahani yake au nguo zake mmh...na haleti marafiki wa kike(girlfriend)..tho according to yeye anao wengi zaidi ya wa kiume while shemeji yake na kaka yake wako free naye but mbona hawapeleki nyumbani..je siku hizi kuna mashoga wasio na ukike sanaa kama zamani?yaani kujibinua,kujiremba,kubadili sauti na akawa shoga?tumsaidie mwenye ushauri maana anampenda hapendi apotee
 
kwa hiyo kuwa hendisamu ni kosa?
kuwa msafi ni tatizo?
kutokuwa na gelofrendi ni mbaya??
mwe!
 
I see yaani huu uzi sijauelewa kabisa sijui mi mgumu kuelewa ???
 
kwa hiyo kuwa hendisamu ni kosa?
kuwa msafi ni tatizo?
kutokuwa na gelofrendi ni mbaya??
mwe!

ndiyo maana aliweza kukaa nae kwa miaka yote alione tatizo..but signs zinapzidi na mtu wa nje kuona..inashtua kwa wanafamilia..imagn ni wa kwako.
 
Sijaelewa kitu.....Yeye kutoleta girl friends ndo ushoga duhhh!!!
 
characters za ushoga zinaenda mbali zaidi kwa hata kuvaa mavazi ya kike na mapambo.. hata maongezi na matamshi yake yanaonyesha tabia za wazi kabisa.. muulize kama anazo hizo sifa..
 
ndiyo maana aliweza kukaa nae kwa miaka yote alione tatizo..but signs zinapzidi na mtu wa nje kuona..inashtua kwa wanafamilia..imagn ni wa kwako.

signs za ushoga ndo hizo???
kuna mijitu mibauncer ya nguvu,na wla sio miongoni mwa wanaoitwa mahandsome,wachafu na wengine wameoa na bado ni mapunga!
WELL!my point is!sio nzuri sana kuwagugde watu kwa mionekano yao ya nje!MTAWAHUKUMU WENGI SANA KWA MAKOSA!
pole though!
 
characters za ushoga zinaenda mbali zaidi kwa hata kuvaa mavazi ya kike na mapambo.. hata maongezi na matamshi yake yanaonyesha tabia za wazi kabisa.. muulize kama anazo hizo sifa..
Sasa aki confirm ni shoga so what ,atambadili awe straight kinguvu?
 
Sasa aki confirm ni shoga so what ,atambadili awe straight kinguvu?

anaamini the guy is so understanding and humble,so will be easy to change hata kwa kumtafutia psychologists mapema
 
acha kuhukumu watu vibaya, ni MUNGU ndiye aliyemuumba akiwa handsome, pia usafi ni tabia ya mtu, acha kabisa huo ushetani wa kusingizia watu vitu usivyo na uhakika navyo!!!
 
Kuyavaa ya shemeji wa rafiki, imehusu na nini?
 
Hahahaha leo nimepata watu..hii threads nimeitoa mahali nikaibeba kama ilivyo..kuna mtu alinambia ukiweka post ya mambo hayo watu ndo wataingia weengi..lakini post ikiwa kilimo cha pamba mwanza no oneeeeeee.
Haya kwaherini niendelee na kazi
 
Sasa aki confirm ni shoga so what ,atambadili awe straight kinguvu?

ha ha ha Bishanga.. labda amepewa kazi na familia ya kuthibitisha kama hizo tuhuma ni za kweli au laa.. haya mambo yako so complicated.. ntakuambia kisa kimoja ujue how complicated haya mambo ya ushoga yalivyo..
 

Chemwali nipe namba yake halafi ntakujuza kama ni shoga ama laah
 
Last edited by a moderator:
characters za ushoga zinaenda mbali zaidi kwa hata kuvaa mavazi ya kike na mapambo.. hata maongezi na matamshi yake yanaonyesha tabia za wazi kabisa.. muulize kama anazo hizo sifa..

mkuu siku hizi mashoga sio lazima wale vidole juu, unamkuta mtu baunsa, mkakamavu , mtemi ngumi mkononi lakini watu wanachukua ,lo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…