ha ha ha Haa
vipi mkuu nimrushie nini yale makitu maana kuna mengine moto moto ndo nimeyapata hapa ila ntahitaji ruksa ya rafiki yangu Excel
Mara kashfa Mara ukweli ndo huo lipi ni lipi?
mchungaji hujui kwamba kashfa inaweza kuwa kweli au kupakaziwa?halafu mbona umekuwa mkali badala ya kujibu hoja?kitu gani kilichokuvutia mtu wa Mungu kutumia picha ya jidude linalotisha?unajua hapa tunawa-treat watu kutokana na character wanazoonyesha hapa bila kujali uhalisia wao ktk dunia ya kweli ndio huo au la,hivyo hapa wewe umejipambua kama mtu wa kutupia maneno ya dini/injili hivyo basi tukiona kuna vitu visivyoendana na character yako kama hilo dubwana ktk avatar yako ambalo wengine tunaliona limekaa kifreemason basi tunazungumza pia hisia zetu,haya jibu hoja!
USHAURI WA BURE:kuwa muungwana,kubali kuwa avatar yako haiendani na character yako uliyoionyesha hapa,badilisha,uungwana ni kuikubali kweli na kutembea ktk kweli
sitaki urafiki na manuu kabisa!!! unajua kijana anajiona mjanja saaaaaana anasahau hao walioenda kusoma uganda walikuja kuaga kwangu nikawa-freight forward kwa kuwa-clear effectively! huyo dem sio wako wewe ndo maana anakuzingua..
ha ha ha
mkuu nitupie zile brands?
Ha ha ha ha
imebidi tu nicheke kwahiyo avatar yangu inakuzingua eeh
kwa hakika inanizingua....unaleta maneno mazuri ya Mungu,kisha natizama nani kaleta maneno mazuri haya,naona ni lusungo,nashuka chini kidogo nakutana na avatar dubwana la kutisha,upako wote unapotea,kwa kweli ujumbe wako unaoletaga na avatar yako ni kama kupewa maziwa yakiwa ktk kopo la chooni!(samahani mfano sio mzuri lakini ndio hisia ninazopata)
mkuu hebu kazia kazia hapa kwanza...!
mi sio bazazi lakini eenh!
aaargh! achana na kuzimu bana! kwani muda ushaisha? bado bado..!
yani ninyi Lusungu na Excel hamna maana kabisa hebu chekini maongezi yenu;
Lusungu: manuu analeta rabsha sasa ndo nauliza nitupie zile updates za kuzimu? maana segere kaniita hapa
Excel: aaargh! achana na kuzimu bana! kwani muda ushaisha? bado bado..!
Vipi huko kuzimu mwapatikana kitengo gani?
Mmmhhh!!!!!