Shemeji yangu jamani

Tutapata murder case na kufungwa bby and u knw I cant live without eiyer..i cant even breathe

Wakijinyonga kesi itakuwaje kwetu?

We angalia tu kuna mabazazi mate yanawatoka!!!!!!
 
Hahaaa wa kunificha si wewe dear..uliniahidi ikivuna mpunga na mahindi utakuja kunificha...

So nasubiri uje kwetu baba paroko

kwenye stori kama hii wewe na Mentor huwa hamkosi....
Unaonekana unapenda sana mapadre na wachunga weye
 
Wakijinyonga kesi itakuwaje kwetu?

We angalia tu kuna mabazazi mate yanawatoka!!!!!!

Mmh kwa kweli...hebu nenda kule chit chat kuna bazazi mmoja anaitwa Excel kasema nisikupende coz umepigwa ban mwaka mzima
 
mkuu that show how week your...ACHA MICHEPUO TULIA NJIA KUU ACHA KUAMAAMA....CHUKULIA MDOGO WAKO WA KIUME NDO MKEO ANAMTAMANI HIVYO
 
umeonaee tatizo ndugu yangu manuu anafikiria tu pale anapopaona bila kutazama kule asipopaona ila nadhan kwa sasa atatoa nafas ubongo wake kufikir kidogo

Hawa wakina HAWA kuishi nao unatakiwa uwe makini sana uki relax kidogo tu lazima atatumia hiyo nafasi!
 
Yaan nimkabidhi mdogo wangu apelekwe disko na mume wangu,??na nguo fupi avae mbele yangu na mume wangu labda sio Dinazarde wallah,kwanza nikishaona vitabia vya ajabu hakuna kuja kwangu, mdogo baki nyumbani hakuna kitu kitamu kama mwanaume,,
We mkaka nawe una tamaa sidhani hata ma house girl unawabakisha,unavyomsifiaa si ungemuoaga yeye ukamwacha dada yake
"Nyie ndio hua mnajuta kuoa mnasema ni kwa nin mlioa mapema kwa taarifa wazuri hawaishi,ukitaka kula wote kazi kwao,
ACHA TAMAAA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…