Hahahahahaha dah jamaa ni kipofu wa ubongo....mwanamke anaishije bila chupi
AhahahahahahhahaKwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mwambie hujui size yake, aje kwanza ucheki size
Kwa kuwa wewe ni shemeji yako ungeweka peupe namba ya simu watu waruke nae. Na hivi hana malinda anakuwa ni kivutio kwa watalii wa nyuma.Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha
Nikamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nikichek mtoto ni booonge la sistaduu, Mimi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nikamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua
Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mimi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
KabisaaaaaaaUrafiki huwa mzuri ila saa nyingine unaharibiwa na watu wa aina hii.
Unafikiri lazima anunue basi hivyo vyupi... Aende tu akamwombe aone kama kweli hana, basi anakula Mzigo palepale... Sijui kwa nini siku hizi kuna wanawake/wasichana cheap kiasi hichi.manfongo style aya kamnunulie shemeji yako halaf umvalishe halaf mkulane
Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
Uje na huku nimevurugwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
huyu n mwanaume wa dar akil hawanaKwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
Nmependa hapo Anatumika Kote kote Hebu Ntumie no yake Inbox nimsalimieSalaam wote