Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha
Nkamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nkichek mtoto ni booonge la sistaduu,mi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nkamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua
Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
Mkuu huyu ni kijana wa form one...wapo likizo sahvHivi wanafunzi waliopangiwa shule zao (high school) wiki hii wataanza lini masomo yao hayo ya form five?
Unampandisha chati bure, huyu yupo darasa la sabaHivi wanafunzi waliopangiwa shule zao (high school) wiki hii wataanza lini masomo yao hayo ya form five?
.mkuu daaah hiii ndio shida ya vijana wetu walio maliza 6Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
Well said emmytaUrafiki huwa mzuri ila saa nyingine unaharibiwa na watu wa aina hii.
naunga mkono hoja ,akupe huyo shemela ucheze nae POPOMAKwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.