Oscar Pius Blog
Member
- May 5, 2015
- 34
- 67
Msaada wanajukwaa wenzangu,
Kuna mfanyakazi mwenzangu ana mpenzi wake na namfahamu hata yeye ananifahamu ila kwa sasa naona kaanza kunitaka mimi kimapenzi kitu ambacho sitaki kumvunjia heshima rafiki yangu, nimejaribu kumueleza kila kitu juu yangu hasa undugu na jamaa yangu ila hataki kuelewa.Inanipa wakati mgumu sana kwa sasa.
Naomba mnishauri la kufanya maana kumwambia jamaa ana hasira na anaweza mfukuza au akamuumiza kwa kumpiga.