Shemeji/wifi yenu simuelewi

Wanaofanywa uko wako hatarn sana kupata HIV
 
Mtu amekuomba kbs bado inaweka macomplain mengi! Ndio mwenzio kajisikia hivo! Is up to you mpe ushauri nasaha au umkalipie wenzio wakafanye usichokiweza au umtimie au umshughulikie hayo yote yapo chini yako!
 
Bora Nifanye Hvo Mkuu.Lakini Inakua Ngumu Sana Sababu Bdo Nampend..Ila Ntajitahd Tu Asije Kunitia Mkosi Mm.

kabla ya kumwacha mwambie kwa nini unamwacha,pili mpe madhara ya kitendo hicho,pia mhakikishie kwamba utamtunzia hiyo siri
 
Sijaona Na Sina Watoto Mkuu.Wote Ni Wanachuo Tu.
basi sawa wenzio wanamla so kama huwezi kumla we mpige chini tu tafuta anaye tumia mtandao mmoja.... halafu now days ni fashion eti nasikia kwa wadada wa mjini usipo mla .. watamla
 
Bora Nifanye Hvo Mkuu.Lakini Inakua Ngumu Sana Sababu Bdo Nampend..Ila Ntajitahd Tu Asije Kunitia Mkosi Mm.

Kwani umeambiwa hilo ndo basi la mwisho kwamba ukishuka tu umeachwa? Tumia akili otherwise mfanye uikose pepo.
 
basi sawa wenzio wanamla so kama huwezi kumla we mpige chini tu tafuta anaye tumia mtandao mmoja.... halafu now days ni fashion eti nasikia kwa wadada wa mjini usipo mla .. watamla

mim nadhani kabla ya kumuacha nimtangaze kwanza manake bla hvo hataacha hyo tabia..au we unaonaje hpo?
 
Mpeleke hospital Aghakan wakamuangalie...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…