Shemeji/wifi yenu simuelewi

Shemeji/wifi yenu simuelewi

Sossy Mwasi

Senior Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
190
Reaction score
23
Habari Wana Jf Wote Wa Humu Ndani.Naombeni Msaada Tafadhali.

Shemeji Yenu Ananilazimisha Sana Nimfanye Kinyume Na Maumbile.Wiki Ya Pili Sasa Ameng'ang'ania Na Hakuwahi Kuwa Hvo Hapo Awali Sasa Sijui Ni Pepo Au Ndo Wenzangu Washaniharbia Tayari.Embu Naomba Mnishauri Nifanyeje Wakuu Manake Katilia Mkazo Kwel Tena Hana Chembe Ya Aibu.
 
ilitakiwa umpe talaka yake mapema sana akatafute hao wa kumfira huko atakoenda.
usikubali kutendeshwa dhambi kisa unalinda ndoa.
kila mtu atabeba mzigo wake
 
Nafikir kuna wakat mtu unatakiwa ufikirie vyema na pasipo shaka...unafikiri had kukuambia hivyo hajawahi fanywa?
 
Nafikir kuna wakat mtu unatakiwa ufikirie vyema na pasipo shaka...unafikiri had kukuambia hivyo hajawahi fanywa?

Nikiwaza Nikafikia Hapo Ndo Nachanganyikiwa Kabisa Nataman Kumuacha Lakin Bdo Nampenda.
 
Mimi nimejiuliza tu,,hiyo ndoa yako ina muda gani? Je una mtoto/watoto? na kama ndoa ni changa mlikaa uchumba wa muda gani?
Je kwa muda wa Uchumba au wa ndoa unaishi naye au una kaa mji mwingine/pengine kikazi?

Siamini kama mwanamke anapata wapi huo ujasiri labda awe alianza muda mrefu na kufanya siri...

Kama mmekaa kwa kipindi kina cho zidi mwaka na hukuona hiyo hali
Unatakiwa ujilize,
 
Dont do that, km unahofu na unatambua uwepo wa Mungu sugua goti ni tatizo dogo sana hilo.
 
Mimi nimejiuliza tu,,hiyo ndoa yako ina muda gani? Je una mtoto/watoto? na kama ndoa ni changa mlikaa uchumba wa muda gani?
Je kwa muda wa Uchumba au wa ndoa unaishi naye au una kaa mji mwingine/pengine kikazi?

Siamini kama mwanamke anapata wapi huo ujasiri labda awe alianza muda mrefu na kufanya siri...

Kama mmekaa kwa kipindi kina cho zidi mwaka na hukuona hiyo hali
Unatakiwa ujilize,

Sijaona Na Sina Watoto Mkuu.Wote Ni Wanachuo Tu.
 
Mimi nilifikiri mke kumbe ni girl friend...
Wewe unajua kabisa madhara yake kwake lakini na kwako pia...
Achana naye....

Bora Nifanye Hvo Mkuu.Lakini Inakua Ngumu Sana Sababu Bdo Nampend..Ila Ntajitahd Tu Asije Kunitia Mkosi Mm.
 
Kati ya wanawake 10, 7 wanafanya hiyo michezo kwa sasa. Tuwe makini, mi kuna demu mpaka kesho anataka nimle tigo gharama zote kwake. Ila mi na michezo ile tofauti kabisa.
Na ukianza leo basi hata ukija ukafunga ndoa hutoacha. Utamshawishi mkeo/mmeo akutimizie. Hatari sana kwa ke na me na madhara ni mengi mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom