U USSNATHAN JAMES Member Joined Sep 9, 2016 Posts 18 Reaction score 6 Sep 11, 2016 #1 Nimekuwa Namsifia mpaka wife ananistukia Anasema kuwa mimi na mdogo wake tunaenda na kitabia. Kila wakati natazama picha zake japo mawasiliano yetu yako limited kwenye whatsapp hatujazoweana kivileee lakini dah sijui huko mbele itakuwaje Je hii ni kawaida na je nikipata nafasi ni smash je akikolea je ni handle vipi hii situation?? Kiukweli nampenda zaidi shemeji kuliko wife sasa nifanyeje huu mtihani???
Nimekuwa Namsifia mpaka wife ananistukia Anasema kuwa mimi na mdogo wake tunaenda na kitabia. Kila wakati natazama picha zake japo mawasiliano yetu yako limited kwenye whatsapp hatujazoweana kivileee lakini dah sijui huko mbele itakuwaje Je hii ni kawaida na je nikipata nafasi ni smash je akikolea je ni handle vipi hii situation?? Kiukweli nampenda zaidi shemeji kuliko wife sasa nifanyeje huu mtihani???
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Sep 11, 2016 #2 Inaitwa ujinga. Hujampenda shemeji yako ila ni tamaa ya ngono tu. Focus kwenye familia yako
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Sep 11, 2016 #3 Yaani toka Man4ngo aachie wimbo wa "hainaga ushemeji " ndo walaji wa mashemeji zenu mna jiachia tuu! Halaf bila aibu mnaona sifaa! Yaani we mtu kakufananisha na nduguyo tuu usha mtamani!! Jiheshimu bro!!
Yaani toka Man4ngo aachie wimbo wa "hainaga ushemeji " ndo walaji wa mashemeji zenu mna jiachia tuu! Halaf bila aibu mnaona sifaa! Yaani we mtu kakufananisha na nduguyo tuu usha mtamani!! Jiheshimu bro!!
J jeffvlar JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 222 Reaction score 359 Sep 11, 2016 #5 Uliwahi kuoa ndo mana
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 11, 2016 #6 Hukumuona kabla ya kuoa
mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,462 Sep 11, 2016 #7 stupidity
N ntongeji Member Joined Aug 1, 2016 Posts 83 Reaction score 56 Sep 11, 2016 #8 Lkn ujue huyo ni mke wa mwingine, wa kwako ulishapata. Zuia tamaa za mwili, najua zipo tu lkn huwezi kuzitimiza.!
Lkn ujue huyo ni mke wa mwingine, wa kwako ulishapata. Zuia tamaa za mwili, najua zipo tu lkn huwezi kuzitimiza.!
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,195 Sep 11, 2016 #9 Ikiwa mnafanya uzinzi na walevi kweli mtawaacha mashemegi?
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,260 Sep 11, 2016 #10 Naskia Hainaga Ushemeji Tunakulaaa
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Sep 11, 2016 #11 Nyege tu zinakusumbua... Ukisha mvua gagulo lake naye utamuona wa kawaida tu...
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,990 Sep 11, 2016 #12 Hakuna mapenz hapo ni tamaa tu angalia isikuponze
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Sep 11, 2016 #13 watu wa hovyo hovyo mawazo yao pia hovyo hovyo
Dr Mushi Member Joined Sep 1, 2016 Posts 70 Reaction score 40 Sep 11, 2016 #14 Vpi mdogo wako wa kiume akikusaidia nae kumhudumia mkeo huku ukiwa busy na shemeji yako?