toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,483
Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,
Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649
Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA
NAWASILISHA
Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!
Achana nae atakugombanisha na rafiki ako,kwanza anaonekana hana akili, hata STD VII sidhani kama kafika!
Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!
Achana nae atakugombanisha na rafiki ako,kwanza anaonekana hana akili, hata STD VII sidhani kama kafika!
Ngoja kwanza..wewe ni "me" au "ke"
Ni wa simiyu au Geita?Ndio ujue tanzania kubwa watu mpaka leo hawajui kiswahili vizuri na kuandika ni tatizo, ntafanyaje sasa ndio shemeji huyo...
Ni wa simiyu au Geita?
Hapo una shida mara mbili... au mwandiko wake umeuzoea mkuu!?
Hebu jibu kwanza, ni msukuma au mnyantuzu?? Wa lamadi auahahahaha nimecheka kama mazuri ivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu jibu kwanza, ni msukuma au mnyantuzu?? Wa lamadi au
Nipe namba yake nimkanye.Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,
Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649
Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA
NAWASILISHA
Usimle shemeji yako kk..sio vzr.Mimi "Male"
Nilijua tu,mpotezee tu bwege huyoMsukuma aisee, wa Shinyanga ila sehemu sijui
Kumbe wasiojua kuandika ni Wasukuma pekee[emoji2][emoji2]Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!
Achana nae atakugombanisha na rafiki ako,kwanza anaonekana hana akili, hata STD VII sidhani kama kafika!
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeNi wa simiyu au Geita?