Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Hana adabu anaingiaje chumbani ukiwemo huyo anataka mpe afurah then mpotezee

yani we acha tu mkuu.yani saiv hata nikimuona moyo unaenda mbio.
 
Don't try tht at home.. Tulia na mkeo, mwsho wa tamaa ni aibu na fedheha kubwa. Jiheshimu muheshimiane. Embu kua bas nawe
 
Mmmmhhhhhh..! Mitihan ni mitamu kama umepanga mashambuluiliz+ yakikukuta utajibu nin
 
Ama kweli wewe jamaa ni Fukara. Kwa sababu ww ni Fukara ndio maana kwa sasa akili yako inawaza mgegedo tu.
 
Last edited by a moderator:
Don't try tht at home.. Tulia na mkeo, mwsho wa tamaa ni aibu na fedheha kubwa. Jiheshimu muheshimiane. Embu kua bas nawe
sawa sasa je nawezaje kuepuka na hivi vishawishi.?
 
fukara. . . km vip mkimbizie moto tu ili akuheshmu ukimuacha heshma itashuka
 
Naomba yake nikusaidie hakusumbui tena dawa yake nayo mimi
 
Kwa Taarifa Yako Huo Ni Mtego Aliokutega Mkeo! Sasa Wewe Jichanganye
 
nipe namba yake ya simu nimpatie ajira aache kukusumbua hapo home
 

Mpige dole la tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…