Shemeji ananiharibia ndoa yangu

Mtoto IDDY kama alivyomuimba Juma Nature
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Kuna jini la umalaya😲😲😲😲😲
 
Simu iliingia maji maneno yakajitype yenyewe.
 
Hauna namba za Idd mpigie acha uree
 
Mtoto Iddy kazua balaa mtoto iddy kazua mikosi🥲
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Baada ya kusoma hii ndo na Mimi nimeelewa sasa😂
 
Kuna watu watadundana siku si nyingi 🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…