mtoto mtafutaji
Member
- Jul 15, 2015
- 20
- 0
kwa yeyote anayehitaji kununua sheli au eneo la kujenga sheli hapa dar au mikoani na kwa anayeweza kuwa ana mteja wa kununua sheli tuwasiliane tufanye biashara.
#0672089903.
#0672089903.
Kwa sheli zote zinazouzwa hapa Dar na mikoani au kama una mteja anayehitaji kununua sheli Dar au mikoani wasiliana nasi sasa ujipatie sheli mahali upendapo kwa gharama nafuu.
#0672089903
Mimi natafuta kazi ya kuuza mafuta kwenye vituo vya kuuzia mafuta(shell)..plz naomba unisaidie nipate kazi mkuu mtoto mtafutaji.Kwa anayehitaji kununua sheli Dar na mikoani au kukodisha na mtu mwenye mteja anayetaka sheli ya kununua wasiliana nasi sasa ujipatie sheli eneo upendalo kwa gharama nafuu.
#0672089903
Shell ni makampuni makubwa ya expoloration na uuzaji wa mafuta duniani kama ilivo TOTAL, PUMA, BP hapo ungesema kwa wanaotafuta kununua vituo vya mafuta hasa ya petrol, Diesel na Kerosene watu wangekuelewa lakni kwa Tanzania na Afrika hakuna mwenye ubavu wa kuinunua SHELL
Mkuu umepata wapi mamlaka ya kuuza shell,je umewasiliana na waholanzi wenyewe wenye kampuni,
Mawasiliano ya shell namba zao ni 1 (888) 467-4355 je Mbona hawajatangaza kuuza shell
point ni vituo vya mafuta vinauzwa kwa yoyote anayehitaji tunaweza wasiliana kwa hiyo namba na asante kwa kunipa msamiati sitahiki mbadala na neno sheli nadhani imeeleweka sasa.
Mimi natafuta kazi ya kuuza mafuta kwenye vituo vya kuuzia mafuta(shell)..plz naomba unisaidie nipate kazi mkuu mtoto mtafutaji.
wewe sema kituo cha mafuta au ndo wale wanaoita kituo cha mafuta shellkwa yeyote anayehitaji kununua sheli au eneo la kujenga sheli hapa dar au mikoani na kwa anayeweza kuwa ana mteja wa kununua sheli tuwasiliane tufanye biashara.
#0672089903.