Nakubali bwenyenye babu kubwa , haya ndo yanayoweza kuhatarisha amani, muonekano wake na point linazotoa haviendani pumba tupu
kumbe na akina mama ngoma, wameliathiri na kasauti kama mwanamke
Duh!! asee!!!!halafu kwa jinsi lilivyokaa unaweza fikiri analiwa tigo
Najua huyu mh. Mbunge na bado anaendelea kuwa mkoa wa Manyara, ilo linakera , lakini kero zaidi ni namna anayotoa hoja bungeni ni kama kwanza ndo bado yuko kule kwa wananchi alikozoa kutoa amri mkoani.
Kama kuna yoyote aliyesikiliza kikao cha bunge cha jioni ya leo ataungana nami, anatoa ushauri kwa serikali kuwa iwathibiti hao wanao fanya mikutano ya siasa, kwake hiyo anaiona ni kama ni vurugu katika nchi. hapa naona tatizo la mtu kuwa na kofia zaidi ya mmoja , hivi anafikiri pale anaongoza ni mkoa ? ndo maana waligombana na Ole Sendeka , hana maana
halafu kwa jinsi lilivyokaa unaweza fikiri analiwa tigo
ya kuuliza tena hayo..!?halafu kwa jinsi lilivyokaa unaweza fikiri analiwa tigo
ya kuuliza tena hayo..!?
naomba msaada wako ndugu mataka kujua eti mbunge naye ni mtumishi wa serikali? Kama walivyo madaktari, walimu, manesi, etc. Kuna vjana wa magamba wanantia kinyaa sana na hoja zao za ki,,se ng..e. Msaada plzMkuu Shekifu si mkuu wa mkoa. Utaratibu uko hivi: Ukiwa serikalini ukateuliwa na chama chako na kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea ubunge unakoma kuwa mtumishi wa serikali na hata ukishindwa huwei kurudi kuwa mkuu wa mkoa. Mfano Abdulaziz aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa baada ya kushindwa na mgombea wa CUF hakurudi kuwa mkuu wa mkoa, yuko benchi labda ateuliwe tena. Pia yupo Monica mbega si mkuu wa mkoa tena baada ya kushindwa. Maongezi yake sina comment.
jaribu kumwomba huenda akaachia ktufe mzee mzma ukala kdude cha jicho. Me ananiboa pale anapobinua binua midomo kama anaramba koni...!?hee! usiniambie!!nilikuwa nabahatisha kwa muonekano, namjua sana,lakini kila akipita mbele yangu hilo wazo linanijia ghafla!