Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Mbona hakutabili kama na yeye atakufa? this is wicked mind.Jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g Prof. Mangari Mathai, Steve Jobs, hata huyo Shekhe mwenyewe, jana Mr. Ebbo, kuna George Foreman, kuna Heavy D etc........ au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka sasa, kuacha wale "maarufu" wa nje, si kweli watu wetu kadhaa maarufu wameshadondoka mpaka sasa? Na bado ndiyo kwanzaaa tarehe 3/12/2011.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA............. Lisemwalo lipo na kama halipo laja!!!
Matola bwana hili mbona lipo halina utabili kwa jinsi mkweleee anavyotupeleka itashuka tu na itafika dola moja kwa shiling 3000Na mimi natabiri, mwaka ujao shilling itashuka sana thamani na kutakuwa na mfumuko wa bei.
George Foreman wa wapi aliyefariki/?? maana kama ni yule bondia wa USA bado yupo hai..
Jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g Prof. Mangari Mathai, Steve Jobs, hata huyo Shekhe mwenyewe, jana Mr. Ebbo, kuna George Foreman, kuna Heavy D etc........ au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.
jamani, sijui maarufu wengine huwa mnafikiriaje ila kwa mimi ni watu wanaokubalika katika jamii husika. E.g prof. Mangari mathai, steve jobs, hata huyo shekhe mwenyewe, jana mr. Ebbo, kuna joe frazier, kuna heavy d etc........ Au kuna jinsi mnamaanisha wengine!!! Easy, tusikwaruzane ila tuelimishane! Ndy maana ya hii forum.
Najua kuwa lazima kungeleta matatizo! Ndy maana nikawaomba hapa; tuelimishane....
ooh! dah, ss sijui Shekhe mwenyewe tumjumuishe?nadhani alilenga zaidi wa hapa kwetu....unawafahamu....?
Na mimi natabiri, mwaka ujao shilling itashuka sana thamani na kutakuwa na mfumuko wa bei.
Wewe kwanza fanya research uje na mwaka ambao hakuna watu maarufu waliokufa ...Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka sasa, kuacha wale "maarufu" wa nje, si kweli watu wetu kadhaa maarufu wameshadondoka mpaka sasa? Na bado ndiyo kwanzaaa tarehe 3/12/2011.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA............. Lisemwalo lipo na kama halipo laja!!!