Mwamposa wa Kiislam...Huko tuendako utasikia vumbi la upako toka Maka
Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa kuangukia mle mle.
Kuna muislamu mmoja sababu ya kuwa na mahaba na Mazinge akakanusha. Sasa ushahidi huo hapo. Hivyo waache kelele kwa Dr. Sule, mwanamatengenezo ya wazi katika Uislamu. Yale ambayo yalikuwa yanafanyika kwa siri akayaweka wazi, akapingwa sana, ila sasa wameona jamaa anakunja noti huku wao wanapiga kelele.
Ipo hivi, anachofanya Sule na Firdaus kina ruhusiwa katika Uislamu na ushahidi upo wa kutosha. Siku moja nitaweka hapa.
Anyway labda hili litasaidia kuokoa wamama wa kislamu wanaokimbilia kwa Mwamposa, nilisikia (ga) Dr. Sule anasema hivyo.
Bado manabii tu wa upande huo kutokea kwa wingi like Mizra Gulam na Eliyasa wa Tanzania ili kutumiza Mathayo 24:24. Bado mtaona mengi na midomo yenu hiyo yenye majivuno na kelele itafungwa.
Na Jeff Massawe
Njaa kwakweli Haina baunsa ,huo ni mtego muhimu sana wa shetani ,Hawa aliushindwa,Yesu aliushindaNjaa Haina baunser. Ukifuzu hicho kitabu Cha kiarabu hatima yako ni kuwa mganga wa JADI. Nenda kwenye Kila nyumba zao za ibada nje wanauza madawa ya kienyeji na ya mwarabu aliyewaletea dini. Nyingi ni feki za kuongeza nguvu za kiume sijui Kuna tatizo gani kwenye waoaji wa wake qwngi
Kwahy Bora yule jamaa wa YAKUZ YAVUZNjaa Haina baunser. Ukifuzu hicho kitabu Cha kiarabu hatima yako ni kuwa mganga wa JADI. Nenda kwenye Kila nyumba zao za ibada nje wanauza madawa ya kienyeji na ya mwarabu aliyewaletea dini. Nyingi ni feki za kuongeza nguvu za kiume sijui Kuna tatizo gani kwenye waoaji wa wake qwngi
Huyu jmaa Hamna kitu kabisa..amini nawambieniJamaa niliona video anawaaminisha watu yeye ni smart kuliko yeyote msikitiniπ
Aliiba mzani wa nguruwe miaka ya 90 akawekwa ndani
Kwa nini aliiba mzani huo?Jamaa niliona video anawaaminisha watu yeye ni smart kuliko yeyote msikitiniπ
Aliiba mzani wa nguruwe miaka ya 90 akawekwa ndani
Kwa nini huna imani naye wakati ni mwanazuoni mahiri?Huyu jmaa Hamna kitu kabisa..amini nawambieni
Tatizo ni mweupe ilm dunya ..Kwa nini huna imani naye wakati ni mwanazuoni mahiri?
Kumbuka huyo ni Professor, hivyo hapaswi kubezwa juu ya Elimu DuniaTatizo ni mweupe ilm dunya ..
Na wapa watu conspiracy theory anataka tuamini tuu na ulimwengu wa sayansi huu
Amnaga uislam wa hivyo huyo ni tapeli kama matapeli wengineHuko tuendako utasikia vumbi la upako toka Maka
Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa kuangukia mle mle.
Kuna muislamu mmoja sababu ya kuwa na mahaba na Mazinge akakanusha. Sasa ushahidi huo hapo. Hivyo waache kelele kwa Dr. Sule, mwanamatengenezo ya wazi katika Uislamu. Yale ambayo yalikuwa yanafanyika kwa siri akayaweka wazi, akapingwa sana, ila sasa wameona jamaa anakunja noti huku wao wanapiga kelele.
Ipo hivi, anachofanya Sule na Firdaus kina ruhusiwa katika Uislamu na ushahidi upo wa kutosha. Siku moja nitaweka hapa.
Anyway labda hili litasaidia kuokoa wamama wa kislamu wanaokimbilia kwa Mwamposa, nilisikia (ga) Dr. Sule anasema hivyo.
Bado manabii tu wa upande huo kutokea kwa wingi like Mizra Gulam na Eliyasa wa Tanzania ili kutumiza Mathayo 24:24. Bado mtaona mengi na midomo yenu hiyo yenye majivuno na kelele itafungwa.
Na Jeff Massawe
Kapatia wapi professor shekhe wanguKumbuka huyo ni Professor, hivyo hapaswi kubezwa juu ya Elimu Dunia
π π π π Anaitwa Professor ila sijui ni Professor wa Taaluma gani au ndo wale akina Prof Maji ya Tanga?Kapatia wapi professor shekhe wangu
Kwenye huo ujinga siyo mwenzangu yeye yupo na wajinga wenzake anawakokotaMnamkana mwenzenu π