nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:
Sheikh Yahya au Yohana kwa Kiebrania - Hakuwa na majini in the first place.:nono:
uwezo wake wa kutabili ulikuwa ndani ya imani za watu wote waliomwamini katika kona nyingi za dunia.
Watu wengi waliomwamini kwa moyo wao wote na akili zao zote na mali zao zote sasa wanamtilia mashaka na imani imewatoka.
Kitendo hicho cha waumini kupungua ndicho kimnyimacho nguvu na uwezo wa kusema kile akiitacho utabiri.
Siku zote ukienda kwa mpiga ramli majibu ya ramli unayatoa wewe katika process za kupiga ramli.
Vivyo hivyo watabiri wote humanipurate maongezi na akili yako mpaka wakajua nini cha kusema.
Hakuwa na majini wala vinyamkera.
Wenye majini ya kutengenezwa maabara ni Wazungu huku first world wenye uwezo wa kugeuza Miamba ya Silicon kuwa nyenzo ya mawasilino dunia nzima. Transistor Technology ndo uchawi wa hali juu katika karne ya 20.
Kwa kutumia uchawi wao wameweza kuitawala dunia nzima kwa remote control, kuna anaye bisha hapa?
Watu tunalipa fedha nyingi online hata hatujui nani tunamlipa. Shilingi ngapi tunampa huyo Yohana kumradhi Yahya kwa nguvu ya hayo majini yake???