Wewe unafaida gani kwa watanzania? ukisema watanzania una maanisha nini, wake zake sio watanzania, watoto wake , ndugu zake sio watz? acha chuki binafsi ndugu kama ana hatia mahakama ndio yenye mamlaka ya kumhukumu.
Fanya yote kuchoma nyumba ya ibada ni kitu kingine,sio kanisa,misikiti na matemples.waumini wakiomba tu laana inakufika na ndo hayo tunayashuhudia kwa ponda.
Fanya yote kuchoma nyumba ya ibada ni kitu kingine,sio kanisa,misikiti na matemples.waumini wakiomba tu laana inakufika na ndo hayo tunayashuhudia kwa ponda.
Namtakia afya njema ili aje aendelee kutufundisha uisilam mpya ambao unafundisha chuki dhidi ya wakristo wakati miaka yote tuliishi pamoja tukishirikiana kwa umaoja wa kila namna ila yeye ametuletea dini mpya kwa sasa