McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Japo wamepatikana wawili watatu ambao wanasimama na wananchi na kukemea ukatili uliofanywa.
Nimefarijika sana kuona video hii
---------------------
Mkurugenzi Mkuu wa Al- Hikma na Mwenyekiti wa Mashindano ya Qur’aan Tukufu Ulimwenguni, Sheikh Nurdin Kishk akiwa anazungumza hivi karibuni amekemea vitendo vya mauaji na utekaji na kuongeza kuwa Uislamu hauungi mkono vitendo hivyo
"Uislamu haukubaliani na mauaji, utekaji, ukabaji na dhulma ya aina yoyote ile. Angalieni leo wanavyoua watu. Dunia imejaa dhulma, uonevu. Angalieni Palestina wanavyouwawa wanafungiwa mipaka yote wanakufa kwa njaa"