M mr.robot Member Joined Jul 12, 2015 Posts 6 Reaction score 3 Jul 16, 2015 #1 ITV wametangaza sasa hivi kwamba sheikh mkuu amesema kwa kuwa mwez mkuu haujaonekana basi waislamu Tanzania watasheherekea eid siku ya jumamosi
ITV wametangaza sasa hivi kwamba sheikh mkuu amesema kwa kuwa mwez mkuu haujaonekana basi waislamu Tanzania watasheherekea eid siku ya jumamosi
Munguwatosha JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 602 Reaction score 331 Jul 16, 2015 #2 sawa tu hata iwe jumapili tutakomaa maana hatujalazimishwa kufunga ni kwa roho zetu wenyeweee
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,437 Jul 16, 2015 #3 Khaa!! Imekaa poa sana. Kesho tuendelee na "alimselema hadija" tuinue uchumi wetu