sheikh mkapa

Mkapa naye asijiingize kwenye "mbagala". Awaache wenyewe!
 
anataka kugombea tena?
amwulize mrema alibaki na baraghashia mpaka anaingia kaburini.
 
Anatafuta kura za waislamu si unajua waislamu wamekuwa wakitumiwa na ccm na ccm-b bila kujijua kila uchaguzi wanapewa pilau basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…