The Blues tutawakamata sana msimu huu, Ila respect zangu kwa Liverpoool Fans, kweli huwa na enjoy sana kuangalia Liverpool ikicheza hasa wakati yupo Yule Kocha Mspaniola, hata wakifungwa wanaimba tuuuuuu. i SALUTE FANS WOTE WA LIVERPOOOL POPOTE MLIPOOO kweli hamtembei peke yenuuuuuuuuuuuu
Tatizo la Man City ni kocha sidhani kama watapata mafanikio wakiwa na Manchini ambaye anapenda mfumo wa kudefence hata akiwa anacheza na vibonde.Timu ilikuwa na washambuliaji karibu 5 lakini anachezesha mshambuliaji mmoja tu (Tevez).Pia ameshindwa kuwaunganisha wachezaji wenye viwango vya chini kutengeneza team workJumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion (Hii hela sisi tunanunua mtambo wa 100Mega watt kama sikosei)
Wachezaji wengine ambao Sheikh huyu tishio kwa utajiri ni:-
Joleon Lescott (£24m),
Alexsandar Kolarov (£20m),
James Milner (£24m),
David Silva (£26m),
Yaya Toure (£24m),
Emmanuel Adebayor (£25m),
Mario Balotelli (£24.5m),
Edin Dzeko (£27m)
Carlos Tevez (£25m) and
Sagio Aguero (£38).
Sasa msimu huu tutapata jibu kwamba Mpira ni PESA au ni mbinu na kujituma kwa wachezaji:
Kwa wana soka hebu tujadili nafasi ya Man U , Asenali (Chenga twawala) The Blues (Wazee wa samba la uingeleza) na watani wangu ambao huwa hawakati tamaa miaka yote -Liverpool yaani U will neva wok alone !!!! msimu huu.
Mi bado nawapa nafasi Watoto wa Darajani chini ya AVB:
Arsenal wana wachezaji wengi wa aina moja (wengi ni wachezaji laini) mpira wa nguvu unawashinda hata wakimuuza Fabregas bado kuna wachezaji kama Diaby,Walcot,Almunia,Squilaci.Kosciency,Chamakh,Ebue hawastahili kuchezea timu kama ArsenalWakinunua beki wa kati, wakamuuza kapten cesc arsenal watatisha msimu huu,
Kheeee heeee heeee!Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada...
Jumatano Sheikh Mansour amefikia kiwango cha £400million na kuweka record ya Club za uingeleza baada ya kumnunua mchezaji mahiri Sergio Aguero wa Algentina kwa pound 38million. sawa na 152billion (Hii hela sisi tunanunua mtambo wa 100Mega watt kama sikosei)
Wachezaji wengine ambao Sheikh huyu tishio kwa utajiri ni:-
Joleon Lescott (£24m),
Alexsandar Kolarov (£20m),
James Milner (£24m),
David Silva (£26m),
Yaya Toure (£24m),
Emmanuel Adebayor (£25m),
Mario Balotelli (£24.5m),
Edin Dzeko (£27m)
Carlos Tevez (£25m) and
Sagio Aguero (£38).
Sasa msimu huu tutapata jibu kwamba Mpira ni PESA au ni mbinu na kujituma kwa wachezaji:
Kwa wana soka hebu tujadili nafasi ya Man U , Asenali (Chenga twawala) The Blues (Wazee wa samba la uingeleza) na watani wangu ambao huwa hawakati tamaa miaka yote -Liverpool yaani U will neva wok alone !!!! msimu huu.
Mi bado nawapa nafasi Watoto wa Darajani chini ya AVB:
mkuu mbona umecheka kulikoni hapo pekundu?Kheeee heeee heeee!
Asenal wanataka ile freva ya Barca laini uwezo hawana, kwa hiyo hawaeleweki eleweki.Arsenal wana wachezaji wengi wa aina moja (wengi ni wachezaji laini) mpira wa nguvu unawashinda hata wakimuuza Fabregas bado kuna wachezaji kama Diaby,Walcot,Almunia,Squilaci.Kosciency,Chamakh,Ebue hawastahili kuchezea timu kama Arsenal