Sheikh Ilunga akamatwa Tabora, aachiwa

Status
Not open for further replies.

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
Yule sheikh maarufu wa jijini Mwanza, Sheikh Ilunga Kapungu aliyekuwa akitafutwa kwa tuhuma za uchochezi jana mchana alitiwa mbaroni mjini Tabora na kuachiwa saa mbili usiku jana hiyo hiyo na kutakiwa akajisalimishe kituo kikuu cha polisi jijini Mwanza. sheikh Ilunga alikuwa anatafutwa kwa takriban miezi sita na jeshi la polisi nchini kwa mujibu wa maelezo yake anasema alikuwa nchini India kwa matibabu ya figo na kisukari na amerejea nchini siku chache zilizopita.
 

Bora angetangulia kwa israeli, mdini mkubwa!
 

Angewahi tu kwa israeli akatubu!
 
Ilunga ndio kitu gani hebu fafanua tafadhali.
 
Toka india alipitia dubai na ana mahela ya project ya wakereketwa wa kiarabu. Polisi gani wa tz anaweza kumkamata kiukweli mtu mwenye mahela.
 
Hilo shekhe huni nalijua....hivi majuzi lilipinduliwa kwenye wadhifa wake huko msikitini
 
Mimi ni Mwislam lakini jamaa zangu wengi ni wakristo, tena wema sana. Kusema kweli sipendi hata kidogo huu uhuni unaofanywa dhidi ya wakristo.
 

Huyu atakuwa anakula nao magamba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…