Sheikh hatakiwi kuivaa siasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,557
Reaction score
12,830
Sheikh hatakiwi kuivaa siasa. Ukimuona sheikh anaivaa siasa mwisho wake huwa mbaya huangukia kuwa chawa wanasiasa kama sheikh Ponda hivi sasa na heshima kwa jamii hushuka.


Tumuangalie Mtume Muhammad (SAW) alikuwa kiongozi wa kisiasa katika muktadha wa jamii ya wakati wake. Alikuwa:

.1. Kiongozi wa dini – aliwafundisha watu Uislamu.

2. Kiongozi wa kijamii – alisimamia masuala ya haki, usuluhishi wa migogoro, na ustawi wa jamii.

3. Kiongozi wa kisiasa na kiserikali – baada ya hijra (kuhamia Madina), Mtume aliongoza dola ya Kiislamu ya Madina, akasimamia sheria, ulinzi wa mji, mikataba ya amani, na hata vita vya kujihami.


4. Kiongozi wa kijeshi – aliendesha na kuongoza majeshi katika vita kama Badr, Uhud, na Khandaq.
 
Nitajie Sheikh walau mmoja tu wa Bakwata ambaye siyo kada wa ccm, na pia chawa wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…