Naam sisi Waislam tunaamini kuwa kuna adhabu ya kaburi hata kama mtu atayayuka katika acid.
Namuomba Allah aniepushe adhabu ya kaburi. Allah awasamehe waumini (wa kiislam) wanaume na waumini (wa kiislam) wanawake, na waislam wanaume na waislam wanawake, walio hai miongoni mwao na waliofariki. Aameen.
Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na Uislam kuwa Dini yetu na Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii wetu.