Nani kakuambia wewe mpumbavu kuwa zaka utolewa kanisani ...kumbuka hata kipindi cha yesu kulikuwa na masinagogi je zaka ilitolewa kwenye sinagogi ? Zaka ni sadaka ya hekalu na hekalu lilikuwa moja tu ulimwenguni hata ujenge jengo zuri na kubwa zaidi aliwezi kuwa hekalu ...zaka ni sadaka ya hekalu la mungu kwa ajiliya kabila la walawi kutumia wao na familia zao ....kitu kingine KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA YA MUNGU TUMIA AKILI ...NDIYO MAANA NIKAKUTAJA KWA JINA LAKO KUWA WEWE NI MPUMBAVU ...MTU YOYOTE ANAYE DHANI KANISA NI NYUMBA YA IBADA HUYO NI MPUMBAVU AJUI CHOCHOTE KUHUSU UKRISTO NA INJILI YA KWELI.Imeandikwa wapi msitoe zaka? Biblia ipi? Hayo makanisa yanajengwa na kuendeshwa na upagani wako? Hao watumishi wa kanisa wanalipwa na tozo ya serikali? Yesu aliposema "nanyi mtoapo sadaka hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume? au aliposema "mjane huyo ametoa zaidi" zilikuwa ni sadaka kwenye matambiko yenu?
Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae; nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu. Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi“. – Mwanzo 28:22.Nani kakuambia wewe mpumbavu kuwa zaka utolewa kanisani ...kumbuka hata kipindi cha yesu kulikuwa na masinagogi je zaka ilitolewa kwenye sinagogi ? Zaka ni sadaka ya hekalu na hekalu lilikuwa moja tu ulimwenguni hata ujenge jengo zuri na kubwa zaidi aliwezi kuwa hekalu ...zaka ni sadaka ya hekalu la mungu kwa ajiliya kabila la walawi kutumia wao na familia zao ....kitu kingine KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA YA MUNGU TUMIA AKILI ...NDIYO MAANA NIKAKUTAJA KWA JINA LAKO KUWA WEWE NI MPUMBAVU ...MTU YOYOTE ANAYE DHANI KANISA NI NYUMBA YA IBADA HUYO NI MPUMBAVU AJUI CHOCHOTE KUHUSU UKRISTO NA INJILI YA KWELI.
Wewe nilipo sema ni mpumbavu sikukosea niliwai kufafanua hapa kuwa kuna tofauti ya fungu la 10 au la 20 au la 30 nk na fungu la kumi la zaka hivyo siyo kwamba kila fungu la 10 ni zaka ...ila zaka nayo ni fungu la 10 tumia akili ...ujue unabishana na genius kubwa sana ...hivyo siyo kila fungu la kumi ni zaka...hiyo ya yakobo ni sadaka tu siyo ZAKA ..fungu la 10 watu walitoa hata kwenye masinagogi ila bado walipekeka zaka hekaluniYakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae; nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu. Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi“. – Mwanzo 28:22.
Je kulikuwa na hekalu wakati huo? Kulikuwa na walawi unaodai zaka nikwa ajili yao? Ibrahimu alipotoa zaka kwa Merchzedeck ilikuwa hekaluni? Aliwapa walawi?
Hampii nakwambiaKWahiyo anataka crown?
Aende kwa gsm.
Anaona hapa miguu inamuumaMa konyo😆😆...
Asilimu ajiite nabii atapata gari
Ndio apewe kutokana na alivyo ombaSheikh kaona isiwe tabu na yeye aombe ki ist kidogo dogo 😀😀
Yeye hamiliki msaidien ata bajajiUyu shekhe anatia aibu,kwani hamiliki majini?
Si unamuona member mwenzetu Kobaaz Kanali_ anaikokota na makreti ya bia?Ataweza kuendesha baiskeli akiwa kavaa kanzu🤒
HahahaSi unamuona member mwenzetu Kobaaz Kanali_ anaikokota na makreti ya bia?
View attachment 3263126
N de A
Mtume Koko atoke wapi sasa? Imani nikuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasio onekana, hakuna cha mtume Koko, wewe ulishawahi ona Mungu anakula ubwabwa?H
Hapana wakuletee wewe mtume koko uzidi kutunisha kijambio
Ni Mfalme DaudiHivi Daudi ni Nabii au sio Nabii
Ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata Daudi, babu yetu. Yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo. Lakini kwa vile Daudi alikuwa nabii , alijua kuwa Mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.Ni Mfalme Daudi
Andiko lipo, kila goti litapigwa na kila ulimi utakiti kuwa YESU KRISTO ni BWANA, Ili kuipata kazi ya Mfalme Daudi kasome 1 Samuel 16:1---- acha kudandia mstari mmoja, soma 2 Samuel yote na 1 Wafalme 1:1-53, 1 Wafalme 2-11, hicho kitabu chacko kichome moto hakina maana yeyote, na ukatubu na kubatizwa.Ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata Daudi, babu yetu. Yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo. Lakini kwa vile Daudi alikuwa nabii , alijua kuwa Mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.
Matendo ya mitume 2:29-30
Je,andiko hili si sahihi?
Kwa hiyo mstari huo uko sahihi au hauko sahihiAndiko lipo, kila goti litapigwa na kila ulimi utakiti kuwa YESU KRISTO ni BWANA, Ili kuipata kazi ya Mfalme Daudi kasome 1 Samuel 16:1---- acha kudandia mstari mmoja, soma 2 Samuel yote na 1 Wafalme 1:1-53, 1 Wafalme 2-11, hicho kitabu chacko kichome moto hakina maana yeyote, na ukatubu na kubatizwa.
Kwani ukusoma habariya sadaka za torati hadi mikate anakulaMtume Koko atoke wapi sasa? Imani nikuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasio onekana, hakuna cha mtume Koko, wewe ulishawahi ona Mungu anakula ubwabwa?