Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,263 Reaction score 54,669 Mar 8, 2025 #21 MamaSamia2025 said: Haya mambo ni mazito mno. Kwanini asiwatumie hao majini tukaondokana na umaskini nchini? Jini mmoja si anaweza fanya kazi za watu 10? Click to expand... Dhubutu yako, hawez kitu kama hiko ndio ujue ndio ujanja ujanja wa mjini na story za kusadikika
MamaSamia2025 said: Haya mambo ni mazito mno. Kwanini asiwatumie hao majini tukaondokana na umaskini nchini? Jini mmoja si anaweza fanya kazi za watu 10? Click to expand... Dhubutu yako, hawez kitu kama hiko ndio ujue ndio ujanja ujanja wa mjini na story za kusadikika
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,669 Reaction score 27,559 Apr 25, 2025 Thread starter #22 πππ
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,083 Apr 25, 2025 #23 Hatari sana
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,100 Reaction score 13,698 Apr 25, 2025 #24 hamis77 said: Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/ Click to expand... Hana tofauti na wanadai kutenda miujiza. Je yuko tayari kukaribisha watu wengine lau washuhudie ndiyo waamini au ni rongorongo za hawa jamaa waoenakane kuna mambo wanajua ili kuvutia wateja wao hasa akina mama waliovurugikiwa maisha?
hamis77 said: Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/ Click to expand... Hana tofauti na wanadai kutenda miujiza. Je yuko tayari kukaribisha watu wengine lau washuhudie ndiyo waamini au ni rongorongo za hawa jamaa waoenakane kuna mambo wanajua ili kuvutia wateja wao hasa akina mama waliovurugikiwa maisha?