umenza na busara ukamalizia na uharo, angalia wote waliokoment hapo halafu ujiulize kama zimetimia au vp.namuunga mkono 100% kabisa ni wapi hiyo niende na mie ,du nimekumbuka sina hijab!!!!sio kuandamana eti mtu kakojolea msaafu
umenza na busara ukamalizia na uharo, angalia wote waliokoment hapo halafu ujiulize kama zimetimia au vp.
sasa wewe unapoenda kwenye kongamano ni lazima uvae kanzu au hijabu? mbona sijaona kwenye thread kama kavitaja vitu vya kuvaa.? jitahidi kuwa na busara mzee mi nadhan aliyepost kapost kwa nia njema ila wewe unataka kuingiza ukereketwa jambo ambalo sio zuri.https://www.jamiiforums.com/habari-...i-waandamana-kisa-mtoto-kakojolea-msaafu.html
angalia vizuri hiyo post imewekwa saa 1119hours sijatoa kichwani kwangu mkuu usinitafute ubaya
namuunga mkono 100% kabisa ni wapi hiyo niende na mie ,du nimekumbuka sina hijab!!!!sio kuandamana eti mtu kakojolea msaafu,KWA HILI WAKRISTO JITOKEZENI NA SIE PAGANISM WAABUDU CHINI YA MITI NJIA PANDA MAPANGO YA AMBONI HEBU TOKENI JAMANI!!!!!!!!! cacico kimenuka njoo huku
Awadhi2009.Huna dogo????Ningekushukia wewe sema misemo imesaidia Funika kombe shetani apite.
Shehe atapata wapi akili? amawarubuni Wakristo tu mjae mlipuliwe, jihadharini sana na magaidi.
Nadhani katika watu wadini hapa JF wewe unabeba bendera maana kila post ya dini lazima upost utumbo tu'au unafurahia sana watu wanapokwanguana kwa masuala ya dini?kuwa na hekma japo kidogo sio lazima kila post ushushe coment
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza na kushiriki katika Kongamano la kitaifa linalotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, ili kujadili mustakabari wa rasilimali zilizopo nchini.Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Rashid Kayumbo, alisema ameazimia kuandaa kongamano hilo, ili kuona ni namna gani rasilimali zilizopo zinamnufaisha mwananchi tofauti na ilivyo sasa.Alisema kongamano hilo litashirikisha watu wa kada mbalimbali wakiwemo wabunge, vyama vya siasa, viongozi wa dini pamoja na asasi za kiraia.Sheikh Kayumbo alisema anakerwa na baadhi ya viongozi ambao wanawapa fursa kubwa wageni kutoka nje na kushindwa kuwasaidia Watanzania kupitia rasilimali zilizopo.Ukipitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ndiyo utaamini kuwa serikali haina dhamira ya kweli katika kuwasaidia Watanzania, alisema.Alisema kripoti hiyo inaonesha jinsi baadhi ya wawekezaji nchini walivyoweza kusaidiwa katika mitaji yao huku wakiwepo Watanzania waliokosa mitaji na serikali kushindwa kuwasaidia.Alibainisha kuwa kabla ya kufikia uamuzi wa kuandaa kongamano hilo, alijaribu kuwasilisha taarifa zake Ofisi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, lakini baadhi ya barua zake hazikujibiwa.
source: tanzania Daima