Nimesoma sijaelewa hata kidogo, wamekamata mafuta yakiwa kwenye baiskeli, bodaboda, gari au kwenye trekta?
Hapo sawaKwenye guta.
Dah! Aisee umenikumbusha mbali sana, wakati Kitemango akiwa mkuu wa shule maharage yalikuwa yanamwagiwa mafuta nadhani pipa nzima. Hivi yale mafuta hayajawa na madhara kwa wengine? Maana kwangu nahisi yameniathiri sana.Wawapelekee wanafunzi wa Iliboru pale wakaweke kwenye maharage ya skuli....
Badala ya kuyapiga kiberiti
Eti wanayaita shehena, nilidhani ni meli nzima kumbe picha hapo inaonyesha madumu kama 10 ya lita20 ambayo yanabebwa na pikipiki 2 tu!Nimesoma sijaelewa hata kidogo, wamekamata mafuta yakiwa kwenye baiskeli, bodaboda, gari au kwenye trekta?
Acha sifa wewe. Pikipiki gani ya kubeba madumu hayo, halafu unasema kama 10 kwani unahesabu namna gani?Eti wanayaita shehena, nilidhani ni meli nzima kumbe picha hapo inaonyesha madumu kama 10 ya lita20 ambayo yanabebwa na pikipiki 2 tu!