johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,693
- 143,122
Shekhe Mwaipopo amesema huu ni Wakati wa Waislamu kuambiana ukweli kwamba ni lazima waanze kujenga Vitega Uchumi kama wenzao wa Dini jirani
Mwaipopo amesema Wenzetu Wana Mashule na Mahospitali kila kona lakini Bakwata hata hatujui tuna nini hasa zaidi ya kunyang'anyana Urithi
Haipendezi Sheikh mzima unampeleka hospital mkeo na kutibiwa kwenye kichumba na akina Dr John, Dr James, Dr Peter Dr Joseph, Dr Paul nk huku siye tukisubiria kwenye mabenchi, tuamkeni ndugu Zangu Waislamu amesisitiza Shehe Mwaipopo
Nawatakia Dominica njema 😀