She is still broken hearted, How can I make her love deeply again?


Huyo bint ana moyo wa plastic nahisi,namhurumia tu maana akija kuumizwa kiukweli ukweli lazima awe chizi kamili.
Bora angejilipua akamwambia,sasa unapenda kimoyo moyo halafu unachukia mapenzi!!!
Mi siielewi hii.
 
Girl let me love,and i will love you until you learn to love yourself...
Just love her,bt pia jiandae kwa lolote,mapenzi risk sana,BUT WORTH IT
ila na yeye ajifunze ku'let go,ehh unamng'ang'ania mtu moyoni all those years ili iweje,JST LET GO..
 
Silent moment for the dead relationship !!!
 
Mpende sana na unjengee kujiamini atakuwa ok with time
 
Kupenda kupitiliza kwa kizazi tulichonacho ni kujitafutia matatizo!!!!!

Wadada wengi, hasa waliowahi kuwa katika mahusiano mengi, hawana ule upendo wao wa zamani, wengi walitendwa mara nyingi kwa hiyo sasa wanapenda au kwa mashaka ama kwa faida binafsi..

wewe mpende kawaida tu, manake usipoangalia waweza kuwa mhanga wa mapenzi!!!!
 
Girl let me love,and i will love you until you learn to love yourself...
Just love her,bt pia jiandae kwa lolote,mapenzi risk sana,BUT WORTH IT
ila na yeye ajifunze ku'let go,ehh unamng'ang'ania mtu moyoni all those years ili iweje,JST LET GO..

1. I concur with you. My mentor used to tell me, "let go to get more"


2. PICHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA......


3. PICHA


4. PICHA BANA~!
 
Huwa inawatokea sana watu...ni ile phenomenon kama ya fisi kumsindikiza mtu akisubiri mkono udondoke...

Na pia kazi ngumu sana kudeal na muhanga wa mambo ya MMU...ni kujipa mayo tu kwani lolote linaweza kutokea!!

Sometimes natamani nikague tena cheti change cha kuzaliwa, inawezekana naqualify kuwa wa 1947 kama wewe Babu DC, why we always think alike? Jamani Matters of the Hearts..................................................
 
Sometimes natamani nikague tena cheti change cha kuzaliwa, inawezekana naqualify kuwa wa 1947 kama wewe Babu DC, why we always think alike? Jamani Matters of the Hearts..................................................


Inawezekana na wewe ni coopted member wa 1947....

But haya mambo ni magumu kidogo!
 

Rafiki Fixed Point ninavyoona huyu dada aliumia sana kuona ampendaye anamchukua mwingine nadhani huwa inatokea.. ssa wasi wasi wangu isije ikawa bado hajalet go hisia bado zipo kwa huyo jamaa wa o level... Tangopori love her like nobody atarudi taratibu.
 
Last edited by a moderator:

Mtani tunatofautina baina ya mtu na mtu kwenye namna ya kuanzisha kuchipua ule mche wa upendo ndani mwetu...

Kuna wengine wetu hupenda kabla hata ya kuambiwa chochote, yaani kule kuvutiwa na mtu huwa wanakubadilisha na kuufanya upendo
 
Be carefully with that kind of ladies, take my word and do your mathematics very carefully nakuambia.Haiwezekani hata siku moja eti mtu anampenda kimoyomoyo tena hujawahi kumwambia na yeye hajawahi kukuambia kitu then automatically usikie ameoa ama ameolewa then useme ute she/he has broken your heart. In short huyo alishatilimbwa vya kutosha then akatoshwa kwa hiyo akajiapiliza kuwa hatakuja kupenda tena.Wewe endelea but it is very hard to please a broken heart woman mpaka yeye mwenyewe kwanza ajikubali na pia akubali kupata kanseli za watu otherwise unaweza ukamwingiza ndani ukajutia.Mara atakuambia hana hamu ya kusex mara atakuambia oooh yaani najisikia kama nina depression kila nikiona mwanaume yaani kama mwanamke mwenyewe si mwelewa atakusumbua sana.Lakini ukikutana na anaejitambua na alietubu akaona kama huko nyuma alifanya uchafu anapompata mwanaume anaona kuwa ni kwa neema tu kwa hiyo anakuwa na adabu.Yangu ni hayo yachambue uone kama yanachukulika ama kuna mstari wa kuchukua ukusaidie.Zaidi usimuoe mtu kwa kumuonea huruma yaani utachemsha mbeleni
 
cjaelewa... why wud she carry tht chuki af hata mtu hakimwambia.. she is too weak not kusema anampenda na kujiumiza wakat wenzue wanaenjoy life n taking advntage kwa kijinga.. mfundshe ku let it gooooo... coz ol tht tym she nvr loved yu..
 
Huyo hakupendi anatafuta sababu ili siku akikuacha akwambie ni kwasababu nawachukia wanaume na nilishakwambia lakini ukashindwa kunisaidia...
 
miaka 7 iliyopita rafiki? 7!
 
Huwa inawatokea sana watu...ni ile phenomenon kama ya fisi kumsindikiza mtu akisubiri mkono udondoke...

Na pia kazi ngumu sana kudeal na muhanga wa mambo ya MMU...ni kujipa mayo tu kwani lolote linaweza kutokea!!
unajua nini kinachonifikirisha sana mkubwa mwenzangu?
i) mkaka hakuwa rafiki yake...
ii) imepita miaka karibia 7......
iii) amekuumiza kwani alikuwa wako akakuacha? kakuumiza nini sasa mpaka unachukia wanaume woote sababu yake?
mi naona huyo dada aseme ukweli, ukweli utamuweka huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…