Uzuri wa mwanamke upo ndani ya tabia na character yake na ndio maana hata ukitazama wanawake wanaofunga ndoa wengi ni wale wasio na matako makubwa, wanasura za kawaida sana, kifuani wanamzigo na ziada, shepu za magitaa ila sifa moja ya wanawake wa kawaida huwa wana zile tabia na haiba za kumfanya mwanaume ajisikie yupo na mwenzake.
Hakuna kitu kina kera kama upo na mwanamke ambaye unamuhudumia kwa gharama zako halafu anakuonyesha ile sura ya ukizingua huko nje wenzako kibao wananitaka hata muda huu ninahitajika zingua niende.
So wanawake kama huyu huwa wanampa amani sana mwanaume maana hawana time na wanaume nje maana hawana soko kubwa, wanampa mwanaume peace of mind, mkimkorofishana hakuletei ngebe atakubembeleza na kukuliwaza, atakujali na kuzingatia mambo muhimu katika uhusiano wenu ndio maana wanaume wanaoa na kuweka ndani wanawake mnaosema ni wabaya.
MUNGU hamnyimi mtu kila kitu, bali kile unachoweza ona ni tunu kikawa mkosi.
Wadada wazuri huwa tunawataka sana kuweka ndani ila mmmmmmhmn hakuna kitu kinauma kama kuolea wenzako mwanamke wawe wanapiga wewe unahudumia.... Halafu siku mkikorofishana anaondoka kwa dharau ndio maana watu huwa wanakata mapanga sio kwa kupenda ni hasira za kuliwa mke....
So mtuache tu jamani na hawa wake zetu wa kawaida.