Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 762
mapenzi ni kumpataa anayekupenda na www ukampenda ila maisha ya wasi wasi katika mapenzi ni hatari sana
Tukirudi kwenye hayo maneno nikiyoquote hapo juu.
sijui hili mnalionaje wakuu.
Its like she didnt accept my action of letting her Go.
Naona hata nyie mnaona.
angalieni maamuzi ya moreen
Wewe umeshazaa songa mbele na maisha na mzazi mwenzio maisha ya huyo kiumbe ni muhimu kwa sasa zaidi ya maisha yako; katika maisha haya mtu hapati atakacho bali ajaliwacho wenye shingo ngumu kuukubali ukweli huu huishia kubaya
Ua such one hell of a strong woman...kama angekua hataki kuzaa na huyo dada angemwambia atoe...amzalishe yeye amuache ili huyo dada aolewe na nani??
The guy is so soft....
Be strong man songa mbele achana na hayo madude ya true love utakuja kuumia...
Wenzako wanaangalia mambo haya...
1. Je ananiheshimu na yeye kujiheshimu?
2. Je ananijali ??
3. Naweza ishi naye??
4. Then je ananipenda...
We weka upofu mapenzi mbele utakuja kulia mjini hapa miaka mi5 still unahangaika tu...
Me inaniuma maana nna kimeo kama chako na nimekikaushia ingawa nakipenda kufa ila huwa najiuliza je amepitia mangapi huko je atakua sawa na vile namjua?? Hata kama anakupenda sio sababu ya kurudiana...
Mzee haya maisha we weka mambo ya tamthilia humu utaumia....
Hahahahaaaaa sikuwahi kudhani mnapendaga hivi ati! Sasa na wewe kimeo chako umekimwaga au unateseka kama huyu
Nani alikwambia nafsi inapata haki katika maisha haya? ingekuwa hivyo duniani kungekuwa na furaha lakini amin amin nakuambia hakuna nafsi hata moja iishivyo iliyo na furaha chini ya mbinguLakini huoni kwamba akijilazimisha kumuoa mwanamke asiyempenda vile tu kazaa naye atakuwa haitendei nafsi yake au ya mzazi mwenzie haki?
Atakuwa anaishi kwenye ndoa kama jela?
ha haaa, pole sana kwa hilo pinduzi......Umepotea sana hadi inauma, tangia unipindue The Boss baada ya kukuomba umsindikize mahali, huniangalii hata machoni.
Nitakusemea kwa Fixed Point
ha haaa, pole sana kwa hilo pinduzi......
itabidi tukae kama kamati tumfinye huyo dogo
na we kakukeraaaaa enh partner?Sasa unataka tuchangie nini hapo?
I thought you had moved on. Kumbe bado?
Acha kujibizana na ex-wako kwenye mitandao.
It won't do you any favour.
Hebu tafuta kitu cha kufanya bana.
Mentor hebu peleka huyu kibandaumiza. Khaa!!
ha haaaa, asante sana rafiki kwa salamu......Fixed Point Salamu zangu hizi angali bado za moto moto zikufikie popote ulipo tafadhali. Yule kuku wako anazeeka sasa ujue!!!! missing you.
ha haaa, pole sana kwa hilo pinduzi......
itabidi tukae kama kamati tumfinye huyo dogo
ha haaaa, hiyo kasheshe......Mmmmmh ukisema kufinywa ujue najikuta tu nabana miguu!
Khaaaaa!
Mtu mwenyewe mnayetaka kunifinyia ehnhenhenhe anafukuzana na wagelo wapya sa hiz.karudi kakutana na videnish vipya vipya hata anakumbuka nilimsindikiza mahali?
upoo ?umefichwa wapi?ha haaaa, hiyo kasheshe......
yaani nitashangaa kama hata wewe umeshindwa kupigilia misumari mtu atulie............
kweli mfinyo unakuhusu ili akili ikae sawa
ha haaaa, asante sana rafiki kwa salamu......
kweli kuku akizeeka sana atakuwa hanogi.......
ngoja nijipange kumla sasa.......
ha haaa, nipo....upoo ?umefichwa wapi?
asante sana rafiki.....Karibu. Akinazeeka saana tangawizi itasaidia kumlainisha.. hahahaaa
Glad to see you arround.
.Bana enh tuna yetu
Is this Easter red or green?