She is beautiful,look rich but homeless!

Rainfall
Join Date : 9th April 2014

Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0

Aaaaaaaaaaaaaaaaa, ndiyo maana tunapata post za hadi wanawake uliowagegeda kumbe ni mgeni, basi :welcome:

umefanya vyema kumtafuta maana anajaza mipost ya uongo miingii dah shule zinafunguliwa lini kwa vidato vya tano wanaojiunga .???
 
thread nyingi sana zinakuja bila kutahiriwa vizuri.

hawa watoto watatupotezea tam tam ya MMU sasa tusipoangalia

Jamani mnatukatisha tamaa sisi wengine ambao ni wageni hapa JF,nakumbuka kuna siku niliandika thread halafu nikaghairi nilivyofikiria majibu ya hapa,mana ukichapia tu mtu anaangalia umeingia lini humu JF.
 
Usingepungukiwa kitu kama ungeandika hiyo title kwa Kiswahili.
 
Jamani mnatukatisha tamaa sisi wengine ambao ni wageni hapa JF,nakumbuka kuna siku niliandika thread halafu nikaghairi nilivyofikiria majibu ya hapa,mana ukichapia tu mtu anaangalia umeingia lini humu JF.

mkuu pole sana kwa hilo, tatizo la new ID's ni kwamba nyingi huwa zina post pumba oriented materials, tofauti na matatizo ya mtu binafsi, wengine hata kama ni matatizo yao, uwezo wa kujielezea unakuwa mdogo sana...

post zinatumwa kwa uharaka sana kiasi cha kutokuwa na nyama nyingi ndani....

pole lakini, nitafute kwa pm nikupe mwongozo zaidi...
 
Hahahahahaaaaa, mkongwe Excel vipi tena, usalama upo kweli?

Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaa, mkongwe Excel vipi tena, usalama upo kweli?
hahahahaaaa!!! mkuu tunakirimu wageni kwa njia zote kadri inavyowezekana bana!!

chumba cha kulala kikikosa, haimaanishi mgeni alale nje, hata sebuleni tukimlaza mara moja sio mbaya!.. lols!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom