Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,944
- 142,045
Thred ifungwe, umemaliza kila kitu...tatizo lake kuu limeanzia hapa!.Usimlaumu, ni madhara ya elimu ya hapa na pale
Usimlaumu, ni madhara ya elimu ya hapa na pale
Ndugu, siyo yeye, damu za watu zinamtesa!Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa zilizopita akiwa anaongea akiwa na Rais wa Kenya, alimtaka Rais huyo wa Kenya awashughulikie wanaharakati wa Afrika Mashariki wataovuka mipaka kuingia Kenya na kufanya shughuli zao.
Samia alinukuliwa akisema kuhusu hao wanaharakati kwamba “wakija kwangu nachapa mikwaju na wakija kwako chapa mikwaju”
View: https://youtube.com/shorts/xXujOXu1hRk?si=TFVeDOTI8NoBTKq5
Juzi wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemuwekea kikwazo mmoja wa ‘wachapaji mikwaju’ wake, huyo fala aitwaye Faustina [this is on purpose 😉] Mafwele.
Pia huyo Samia alishahalalisha mauaji aliyoyafanya kwa kudai kuwa nguvu aliyotumia kuwaua Watanzania, ilikuwa ni nguvu stahili.
Vile vile aliwalaumu wazazi wa watoto aliowaua kuwa kwa nini hao wazazi waliwaachia watoto wao waingie barabarani na kuuliwa.
Huyu Samia ni mshitakiwa mtarajiwa ambaye anaendelea kuirahisisha kazi ya waendesha pindi watakapomweka kizimbani.
Hajui nini cha kuongea wakati gani, sehemu gani, mbele ya akina nani….na kadhalika.
Yeye kazi yake ni kuropoka tu bila hata kupima maneno yake.
Itakuwa raha sana kumwona akiwa kiizimbani akijiuma uma kwa hizo kauli zake.
Bure kabisa!
Hata busara tu ya kutawala na kuendana na mazingira husika hajajaaliwa? Hideous!Usimlaumu, ni madhara ya elimu ya hapa na pale
Idd Amin Mama akili zilishamrukaYaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa zilizopita akiwa anaongea akiwa na Rais wa Kenya, alimtaka Rais huyo wa Kenya awashughulikie wanaharakati wa Afrika Mashariki wataovuka mipaka kuingia Kenya na kufanya shughuli zao.
Samia alinukuliwa akisema kuhusu hao wanaharakati kwamba “wakija kwangu nachapa mikwaju na wakija kwako chapa mikwaju”
View: https://youtube.com/shorts/xXujOXu1hRk?si=TFVeDOTI8NoBTKq5
Juzi wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemuwekea kikwazo mmoja wa ‘wachapaji mikwaju’ wake, huyo fala aitwaye Faustina [this is on purpose 😉] Mafwele.
Pia huyo Samia alishahalalisha mauaji aliyoyafanya kwa kudai kuwa nguvu aliyotumia kuwaua Watanzania, ilikuwa ni nguvu stahili.
Vile vile aliwalaumu wazazi wa watoto aliowaua kuwa kwa nini hao wazazi waliwaachia watoto wao waingie barabarani na kuuliwa.
Huyu Samia ni mshitakiwa mtarajiwa ambaye anaendelea kuirahisisha kazi ya waendesha pindi watakapomweka kizimbani.
Hajui nini cha kuongea wakati gani, sehemu gani, mbele ya akina nani….na kadhalika.
Yeye kazi yake ni kuropoka tu bila hata kupima maneno yake.
Itakuwa raha sana kumwona akiwa kiizimbani akijiuma uma kwa hizo kauli zake.
Bure kabisa!
Huyu mama ni mweupe kweli kweli kichwani. N kweli, hata zile busara zinazotokana na experince ya maisha hana. Kauli yake ya kwanza kunishangaza ni pale mara baada ya kuchaguliwa aliposema ''rais huwa hakosei''. Mimi nilidhani alikuwa anatania kumbe alikuwa serious. Ndiyo maana anaua vijana wadogo kwa mambo kwa sababu tu wamemkosoa. Kadiri anavyotawala ndivyo anavyozidi kuvurugikiwa kichwani. CCM ya sasa haina watu weledi ungekuta ameshawekwa pembeni siku nyingi. NB: hata Kikwete naye ni wa hovyo sana japo hajafikia level ya huyu mama.Huyo ni hana busara wala akili tu.
Kuna watu hawana elimu za juu lakini wako na busara nyingi sana.
Ndiyo maana mimi nasemaga hili suala la ''viti maalum'', la kulazimisha tuwe na viongozi wanawake ili tu tuonekane tunajali ni suala la hatari sana. Huyu kapitia uchochoro wa kubalance mambo kwa sababu ya jinsia na uzanzibar. Nataka sana wanawake wengi kwenye uongozi lakini wapite kwa kuonyesha uwezo wao na siyo jinsia zao.Hata busara tu ya kutawala na kuendana na mazingira husika hajajaaliwa? Hideous!
Yaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa zilizopita akiwa anaongea akiwa na Rais wa Kenya, alimtaka Rais huyo wa Kenya awashughulikie wanaharakati wa Afrika Mashariki wataovuka mipaka kuingia Kenya na kufanya shughuli zao.
Samia alinukuliwa akisema kuhusu hao wanaharakati kwamba “wakija kwangu nachapa mikwaju na wakija kwako chapa mikwaju”
View: https://youtube.com/shorts/xXujOXu1hRk?si=TFVeDOTI8NoBTKq5
Juzi wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemuwekea kikwazo mmoja wa ‘wachapaji mikwaju’ wake, huyo fala aitwaye Faustina [this is on purpose 😉] Mafwele.
Pia huyo Samia alishahalalisha mauaji aliyoyafanya kwa kudai kuwa nguvu aliyotumia kuwaua Watanzania, ilikuwa ni nguvu stahili.
Vile vile aliwalaumu wazazi wa watoto aliowaua kuwa kwa nini hao wazazi waliwaachia watoto wao waingie barabarani na kuuliwa.
Huyu Samia ni mshitakiwa mtarajiwa ambaye anaendelea kuirahisisha kazi ya waendesha pindi watakapomweka kizimbani.
Hajui nini cha kuongea wakati gani, sehemu gani, mbele ya akina nani….na kadhalika.
Yeye kazi yake ni kuropoka tu bila hata kupima maneno yake.
Itakuwa raha sana kumwona akiwa kiizimbani akijiuma uma kwa hizo kauli zake.
Bure kabisa!
Low IQ , low experience, and mostly tumefikaje hapa i dont know. Hajui nini cha kusema na wapi pa kusemaYaani huyu Samia bana…..kila afunguapo domo lake kuongelea mauaji aliyoyafanya au akiongelea harakati za wanaharakati, anazidi kuthibitisha ushiriki wake katika kutenda maovu.
Wiki kadhaa zilizopita akiwa anaongea akiwa na Rais wa Kenya, alimtaka Rais huyo wa Kenya awashughulikie wanaharakati wa Afrika Mashariki wataovuka mipaka kuingia Kenya na kufanya shughuli zao.
Samia alinukuliwa akisema kuhusu hao wanaharakati kwamba “wakija kwangu nachapa mikwaju na wakija kwako chapa mikwaju”
View: https://youtube.com/shorts/xXujOXu1hRk?si=TFVeDOTI8NoBTKq5
Juzi wizara ya mambo ya nje ya Marekani imemuwekea kikwazo mmoja wa ‘wachapaji mikwaju’ wake, huyo fala aitwaye Faustina [this is on purpose 😉] Mafwele.
Pia huyo Samia alishahalalisha mauaji aliyoyafanya kwa kudai kuwa nguvu aliyotumia kuwaua Watanzania, ilikuwa ni nguvu stahili.
Vile vile aliwalaumu wazazi wa watoto aliowaua kuwa kwa nini hao wazazi waliwaachia watoto wao waingie barabarani na kuuliwa.
Huyu Samia ni mshitakiwa mtarajiwa ambaye anaendelea kuirahisisha kazi ya waendesha pindi watakapomweka kizimbani.
Hajui nini cha kuongea wakati gani, sehemu gani, mbele ya akina nani….na kadhalika.
Yeye kazi yake ni kuropoka tu bila hata kupima maneno yake.
Itakuwa raha sana kumwona akiwa kiizimbani akijiuma uma kwa hizo kauli zake.
Bure kabisa!
Inasikitisha sanaHata busara tu ya kutawala na kuendana na mazingira husika hajajaaliwa? Hideous!
Edward Ngoyai Lowassa alikuwa na vipaumbele vitatu.Usimlaumu, ni madhara ya elimu ya hapa na pale