Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,931 Dec 1, 2010 #1 Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani?
M MUSINGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,072 Reaction score 1,267 Dec 1, 2010 #2 Dingswayo said: Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani? View attachment 17828 Click to expand... mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!!
Dingswayo said: Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani? View attachment 17828 Click to expand... mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Dec 1, 2010 #3 mhhhhhh!
father-xmas JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 982 Reaction score 1,127 Dec 1, 2010 #4 MUSINGA said: mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!! Click to expand... una maanisha nini...............? mimi mbona siwezi nina kasoro..................?
MUSINGA said: mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!! Click to expand... una maanisha nini...............? mimi mbona siwezi nina kasoro..................?
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Dec 2, 2010 #5 duuuuhhh hatari... sijui lakini kama hao wa vijijii sana wajua mambo ya ..................... na hicho ni kiti tu kwake...
duuuuhhh hatari... sijui lakini kama hao wa vijijii sana wajua mambo ya ..................... na hicho ni kiti tu kwake...
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Dec 3, 2010 #6
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,053 Reaction score 648 Dec 3, 2010 #7 Ningewaza vinginevyo wangekuwa ni wapwani... Ila baada ya kuona mgolole kwa mbali roho imetulia...
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Dec 3, 2010 #8 Wamevaa hereni?
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Dec 3, 2010 #9 Safari_ni_Safari said: Click to expand... nimechoka kwa hii picha
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,943 Reaction score 9,457 Dec 3, 2010 #10 Halafu kaegamia utadhani yupo kwenye sofa!!
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Dec 4, 2010 #11 Wakuu, hiyo ni smg hapo pembeni, au naona vibaya?...Hawa watakuwa wa nyumbani kwetu hawa!
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,945 Reaction score 2,151 Dec 5, 2010 #12 hizo menduki hapo pembeni ukisogea tu unakuwa historia