Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 264
- 277
Enzi zetu tulikuwa tunakula vyakula vya asili maboga na mbegu zake kama uonavyo kwenye picha hapo chini na ninaendelea. Zamani asbh tunaotea kuwa na jioni lakini ninyi wa sasa mnaaka mnakaa kwenye tv na tatizo lenu mnapenda kula maandazi, chapati na maharage mnatia na sukari halafu mnalia pulingi ndogo poleni kwa kujiua sisi tutawapiga tafu kuwapandisha hao juu kabisa ya mlima kilimanjaro.Zingatieni chakula,kulala vema,kuotea jua na njia nyinginezo muhimu.