Shauri la dhati kwa UKAWA

Shauri la dhati kwa UKAWA

reg

Senior Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
176
Reaction score
97
Habari wanajamvi popote mlipo.

Kwanza kabisa napenda kumpongeza Dr. J.P Magufur kupitishwa kugombea urasi kwa tiketi ya CCM, na weridi alionao katika utendaji wake ata kama anapiga noti.

Pili, kwa UKAWA kitendiwili kilchopo kinaonekana kigumu kutenguliwa, ingawa lazima kipatiwe jibu lakini si vibaya kukubali kutenguliwa na mtu mwingine. Hali iliopo mitaani saiv si wengi uzungumzia UKAWA ni kama vile mwanampotevu karudi nyumban, wengi wa watu ni kama wanamatumaini mapya na CCM kutokana na kumteua Magufuri.

Katika siasa tunaamini zaidi ktk hoja, fikra pevu, mawazo mapana na propaganda, na kutokubali kushindwa ata kama unaona utashindwa.

HOJA YANGU.
Tungependa kuwaona wenyeviti wa vyama vinavyounda UKAWA ktk bunge lijalo na wengi kutoka upinzani ili kuleta ufanisi zaid ktk serikali ijayo. Hivyo basi Ukawa si dhambi kukubali uwezo wa magufuri katka urais hivyo tutumie nguvu nyingi kuwaondoa wanapiga makofi pungeni na wasema NDIYO uku wamelala. Upinzani imara utaitaji wabunge wengi kutoka upinzani.

Kuwepo kwa watu wenye weredi kama Dr slaa, Prof. Lipumba, tundu lissu na wengine wengi zaid kutoka upinzani kutaimarisha usimamizi mzuri wa bunhe lijalo. Hivyo basi UKAWA msitumie nguvu nyingi kwny urais ambao ni mgumu kuupata kwa sasa kwani serikali hii ya CCM na tume yake cku zote uiba kula za raisi kama inavyotokea Zanzibar.

Tuimarishe ubunge ktk awamu hii, ili tuwe na nguvu yakupitsha ya msingi kwa faida zijazo ktk kuiondoa CCM 2020.
UKAWA imara ni sasa ktk ubunge na si ktk uraisi.

MUNGU ibariki Tanzania
 
subbirini kampeni zianze hao wanaozungumza ni ccm ...na wamechanganyikiwa wameanza kujihami .....cjui kwanini ukawa inawawasha hivyo waacheni ....ukawa threat kubwa ilikua kwa lowasa magufuli mweupee tuu subiri october jibu utalipata
 
Magufuli mweupeeeee peeeer mbele ya UKAWA...

Lowassa ndio ilikuwa TISHIO kubwa sana kwa UKAWA...

yaani UKAWA + Lowassa ni kifo kwa CCM...
 
a

Nilichokiona tokea jana hapa jukwaani ni kama wanaccm wote mmehamia humu. Kwanza baada ya kumpitisha magufuli wote mkakimbilia humu ndani kupima upepo kama anakubalika na wapinzani wameogopa. Ni hivi hakuna anayemuogopa Magufuli na haswa ndiye tulikuwa tunamtaka kwani tunajua huko ccm shida sio Magufuli bali ni mfumo ambao Magufuli alikuwa humo siku zote. Sisi wapinzani hatupambani na mtu bali mfumo mbovu wa ccm uliolifikisha taifa letu hapa lilipo, vinginevyo kama Magufuli ni mzuri agombee kama mgombea binafsi na sio kupitia ccm. Sasa ngoja tumtangaze mgombea wa upinzani na shughuli iianze ndio utajua watu hatutishwi na mtu bali tunataka mabadiliko ya mfumo. Kwahiyo kama mlimpisha Magufuli mkijua tutakaa kimya basi mmeingia choo cha kike.
 
subbirini kampeni zianze hao wanaozungumza ni ccm ...na wamechanganyikiwa wameanza kujihami .....cjui kwanini ukawa inawawasha hivyo waacheni ....ukawa threat kubwa ilikua kwa lowasa magufuli mweupee tuu subiri october jibu utalipata

Umenena vyema watanzania hawaelewi siasa zao lowasa ndie aliekuwa na uwezo wa kuitikisa UKAWA magufuli mwe uu pee pee.
 
Back
Top Bottom