mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Ngoja wafumbua mafumbo waje!Unapokwenda kwenye karamu au mahali popote penye heshima na ukawa umevaa shati safi jeupe, lakini kwa namna fulani shati hilo likapata doa la mchuzi ulioungwa vilivyo - dosari hio katika shati lako japo ni ndogo itafanya shati hilo LISIFAE KABISA kuvaliwa kwenye sehemu unayokwenda. Kwa hakika shati lenye dosari kama hio linakuwa HALIFAI na ni la kuachana nalo - japo 99% ya sehemu ya shati inaweza kuwa safi. Ni shati la kutupwa kabisa. Naamini kila mwenye akili amenielewa!
"Mchuzi mdomoni ni mtamu sana lakini kwenye shati ni uchafu"- Mwl. Michael Sango, R.I.PUnapokwenda kwenye karamu au mahali popote penye heshima na ukawa umevaa shati safi jeupe, lakini kwa namna fulani shati hilo likapata doa la mchuzi ulioungwa vilivyo - dosari hio katika shati lako japo ni ndogo itafanya shati hilo LISIFAE KABISA kuvaliwa kwenye sehemu unayokwenda. Kwa hakika shati lenye dosari kama hio linakuwa HALIFAI na ni la kuachana nalo - japo 99% ya sehemu ya shati inaweza kuwa safi. Ni shati la kutupwa kabisa. Naamini kila mwenye akili amenielewa!
Ngoja wafumbua mafumbo waje!
Mafumbo ya nini?ID fake bado unaweka mafumbo
Nafikiri hapa anatahadharishwa baba mwenye nyumba asitie dosari kwenye karamu ya kumchagua aendelee tena na majukumu yake muhula wa pili, kifupi ile kura ya wakakamavu siku moja kabla ya karamu italeta doa na dosari.Watu wasumbuke kutafuta pesa kwenye nyakati hizi korofi bado wahangaike kufumbua mafumbo..
Id yenyewe fake mafumbo ya nini?
Eti bhana!,inakera sanaMafumbo ya nini?ID fake bado unaweka mafumbo
SanaEti bhana!,inakera sana