Sharobaro kasaidia wengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sharobaro kasaidia wengi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Oct 5, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamaa mmoja aliibiwa simu kwenye daladala, ila kutokana na utozi wake (usharobaro) akaona aibu kumwambia jirani yake aibeep ili ajue inalilia wapi.

  Basi akamwambia dereva wa dala dala "hebu zima redio ya mkulima hiyo isiyochuja mziki, kisha kondakta apige namba yangu (huku akimtajia kondakta namba yake) ili usikie mziki uloenda shule.

  Kondakta alipopiga ile namba, simu ikalia mlio wa nokia (tililiu tililiu) toka kwenye mfuko wa teja mmoja alekuwa karibu na mlango, basi yule sharobaro akatia "Mwizi wangu man, nipe hiyo blackberry nikupe samsung galaxy S3 man"
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,310
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Mlio wa nokia?

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mlio wa nokia, simu ya blackberry! hii ni mchina
   
 4. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hiyo..............Mchina Men!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona dizain kama umetutia ndimu machoni!
   
Loading...