Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Simuogopi muhusika, ila kusema ukweli wewe ni mchokozi!
​asante sanaPole kwa kutokwa na Bandama.
Bishanga mnyonge wangu, ila hapa namstahi tu. Unajua si vema kumnyanyasa mtu kila siku hata kama ni mnyonge wako ati!Me nlizani mna utani wa jadi ati
Nani amuogope Bishanga mzee wa kudaiwa na Pride/Finca??Kwani ukisema kuwa unamuogopa kuna nini???
Bishanga mnyonge wangu, ila hapa namstahi tu. Unajua si vema kumnyanyasa mtu kila siku hata kama ni mnyonge wako ati!
​jamani si umenipa pole!!Ulivyoitikia hiyo pole yangu.
​yesuruuuuuu we Mzee!!!!!!!Umeitikia kimahaba....