Sharo kaenda kuoshea na gari lake

Sharo kaenda kuoshea na gari lake

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,371
[h=6]Sharo alikuwa ndo kwaaaaaaanza kafanikiwa kupata mkoko wake mpya baada ya kutoa visingle vyake viwili witatu, akawa na hamu kweli aende nalo Leaders akawakoge masister duuuh nini...

Wakati akizubaazubaa mtaani kwake mlango wa gari ukiwa wazi daladala moja likapita na kuuzoa mlango, Sharo akawa anapiga kelele....
"Oooh my GAD... Gari langu men, daladala imeharibu gari langu meeeen..."

Trafiki alipofika akamkuta Sharo bado analalamika kuhusu ule mlango. Trafiki akamwambia,
"Hivi kwanini unajali mali namna hii? Mbona hulalamiki mkono wako wote wa kushoto ngozi imechubuka?!?"

Sharo ndo akagundua kumbe daladala lilimkwangua ngozi mkono mzima, baada ya kujicheki fresh akapiga kelele zaidi,
"Oh Mamaa, kumbe na saa yangu Rolex mpya imekwenda meeeen...."

[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom