Sharif Hamad adondosha chozi...!


Hii siyo hoja ukweli unabaki palepale kuwa chama tawala zanzibar ni CCM na mwongozo wa utawala huo ni ilani ya chama tawala. Hii maana yake ni kuwa CUF wanatakiwa watekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM kwenye hiyo serikali yao wanayoiita ya umoja wa kitaifa. Sasa sijui ile sera yao ya serikali tatu wataitekeleza vipi manaake Maalimu seifu haamini katika serikali mbili zilizopo sasa.
 
Busara itumike, mambo gani haya watu tumetazama mwanzo mpaka mwisho hayo machozi hatukuyaona kwani alikuwa kashtukizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…