Nimeshaweka Mkuu!Iringa sehemu gani
Weka bei
Wazo la kiti nmelichukua. TV IPO sitting room bosi. Kitanda ngoja tuanze na icho mdogo mdogo.Weka kitanda kizuri
Weka kiti chenye mgongo badala ya hiyo stool
Weka tv
Kongole kwa aliyenzisha hilo wazo,
Hapana bosi.Una nyumba za kupangisha?
Asante kwa ushauri. Ntaufanyia kaziJisajili airbnb.. utapata wateja wazungu wakulipe madolari [emoji38][emoji38]
Hahahaha! Kipo cha kuchuchumaa pia. So kama hupendi cha kukaa utapata chumba chenye choose cha kuchuchumaa. Karibu sana.Sema mkuu choo cha kukaa huwa naona kama nakalia matako ya NTU au inategemea NTU na NTU