Mbona hii ni kawaida? Mathalani mtu ni vegan, au hawezi kula chakula cha kila mpishi, au ana mzio wa aina fulani ya mafuta ya kupikia, au ana kinyaa etc.
Kuna jamaa nilienda mtembelea ofisin Kwao ya wahindi...mm nilisema siwez kukaa pale japo Kwa wiki Moja.....bosi wake na jamaa anawafokea na kuwagombeza wafanyakazi wake kama watoto wadogo.....
Mbona hii ni kawaida? Mathalani mtu ni vegan, au hawezi kula chakula cha kila mpishi, au ana mzio wa aina fulani ya mafuta ya kupikia, au ana kinyaa etc.
Ninafanya kazi na elites wawili hawa watu ni wakarimu mno.Ni maboss ambao ukifika hutaweza kujua kama ndie mpaka uambiwe.Akiwa yupo ni sawa tu na kama hayupo.Ukimsikia kagomba ujue umeharibu sana other wise yupo na business zake.
Niliwahi Fanya kazi na mtu Fulani maarufu sana tu hasa Instagram maisha yake ya mtandaoni na uhalisia ni vitu viwili tofauti sana uyo ndo alinifanya nisiamini maisha ya watu mitandaoni ishi maisha yako Kila mtu ana struggles zake sema hawezi kuzionyesha