Hapo ndio imeshuka.ikipanda inaenda mpka 18 hasa maeneo mazuri View attachment 1235221
pole mkuu
Ivi mnatumia ndugu zangu wa voda mnatumia vifurushi gani ambavyo ni vizuri
Voda vifurushi ghali mkuu, mara nyingi natumia menu hii *149*03#Ivi mnatumia ndugu zangu wa voda mnatumia vifurushi gani ambavyo ni vizuri