Share experience yakO Men vs women,,

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari zenu wana MMU
nadhani Valentine day imeenda poa kwa kila mtu
ningependa kujua kati ya mwanamke na mwanaume ni nani mvumilivu katika mapenzi?
na ni kwa nn?
happ V day ,,,
 
Mwanamke... sababu ntatoa baada ya kumalizia valentine date...
 
Mi hua naona mpenzi wangu ni mvumilivu sana mie najifunza tu
 
Mwanamke aiseee. Visa ambavyo mwanaume anavumilia mwaka mmoja. Mwanamke anaweza kuvumilia kwa miaka 10. Note: I'm a man
 
It all depens HOW PENUT ONE'S BRAIN IS!
 
Inategemea ila wanawake wa SIKU hizi sio wavulivu kabisa...na mifano hai kama mitatu hivi..na mbaya zaidi wengi hustuka mwishoni wakati mambo yameharibika
 
Inategemea ila wanawake wa SIKU hizi sio wavulivu kabisa...na mifano hai kama mitatu hivi..na mbaya zaidi wengi hustuka mwishoni wakati mambo yameharibika

Mkuu, tunaomba hiyo mifano ili tujifunze zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…